Kampala International University in Tanzania (KIUT) hutoa kozi mbalimbali katika ngazi za Cheti, Stashahada, Shahada ya Kwanza, na Shahada ya Umahiri kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026. Ada za masomo hutofautiana kulingana na programu na ngazi ya masomo.

Hapa chini ni muhtasari wa baadhi ya kozi zinazotolewa pamoja na ada zake kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026:

📚 Shahada ya Kwanza (Bachelor’s Degree Programmes)

KoziAda ya Mwaka (TZS)Muda wa Masomo
Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery7,700,000Miaka 5
Bachelor of Pharmacy4,800,000Miaka 4
Bachelor of Medical Laboratory Sciences4,300,000Miaka 4
Bachelor of Computer Science2,450,000Miaka 3
Bachelor of Information Technology2,450,000Miaka 3
Bachelor of Public Administration1,900,000Miaka 3
Bachelor of Social Work and Social Administration1,900,000Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Accounting)1,980,000Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Finance and Banking)1,980,000Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Human Resources Management)1,980,000Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Marketing Management)1,980,000Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Supplies and Procurement Management)1,980,000Miaka 3
Bachelor of Laws2,450,000Miaka 3
Bachelor of Arts with Education (Kiswahili and English)1,740,000Miaka 3
Bachelor of Science with Education (Mathematics, Chemistry, Biology)2,200,000Miaka 3

Stashahada (Diploma Programmes)

KoziAda ya Mwaka (TZS)Muda wa Masomo
Ordinary Diploma in Clinical Medicine (NTA Level 6)1,900,000Miaka 3
Ordinary Diploma in Medical Laboratory Sciences (NTA Level 6)1,900,000Miaka 3
Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences (NTA Level 6)1,900,000Miaka 3
Ordinary Diploma in Environmental Health Sciences (NTA Level 6)1,600,000Miaka 3
Diploma in Business Administration1,800,000Miaka 2
Diploma in Human Resources Management1,800,000Miaka 2
Diploma in Marketing Management1,800,000Miaka 2
Diploma in Supplies and Procurement Management1,800,000Miaka 2
Diploma in Computer Science1,800,000Miaka 2
Diploma in Public Administration1,800,000Miaka 2
Diploma in Social Work and Social Administration1,800,000Miaka 2
Diploma in Law1,800,000Miaka 2

Cheti (Certificate Programmes)

KoziAda ya Mwaka (TZS)Muda wa Masomo
Certificate in Strategic Marketing Management1,200,000Mwaka 1
Certificate in Law1,200,000Mwaka 1
Certificate in Human Resource Management1,200,000Mwaka 1
Certificate in Information Technology1,200,000Mwaka 1
Certificate in Business Administration1,200,000Mwaka 1
Certificate in Public Administration1,200,000Mwaka 1

Shahada ya Umahiri (Masters Programmes)

KoziAda ya Jumla (TZS)Muda wa Masomo
Postgraduate Diploma in Education1,540,000Mwaka 1
Masters of Public Health6,200,000Mwaka 1
Master of Public Administration (MPA)4,000,000Miaka 2
Masters of Educational Management and Administration4,000,000Miaka 2

Ada Nyingine za Chuo

KipengeleKiasi (TZS)Maelezo
Ada ya Usajili20,000Hulipwa mara moja
Kadi ya Utambulisho10,000Hulipwa mara moja
Prospectus na Mwongozo wa Mwanafunzi10,000Hulipwa mara moja
Dhamana (Caution Money)10,000Hulipwa mara moja
Ada ya Uanachama wa Maktaba5,000Kila mwaka
Ada ya Chama cha Wanafunzi (KIUTSO)20,000Kila mwaka
Huduma za Kompyuta5,000Kila mwaka
Ada ya Mahafali15,000Hulipwa mara moja
Ada ya Ubora (TCU/NACTE)20,000Kila mwaka
Ada ya NHIF50,400Kila mwaka

Kumbuka: Ada ya NHIF inalipwa moja kwa moja kwenye akaunti za NHIF kwa kutumia namba ya malipo (control number) itakayotolewa wakati wa usajili. Malipo haya hayafanywi kupitia akaunti za benki za chuo.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi na ada, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya KIUT: https://kiut.ac.tz au wasiliana na ofisi ya udahili kupitia barua pepe: info@kiut.ac.tz au simu: +255 716 153 399.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Categorized in: