Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinatoa kozi mbalimbali kwa ngazi ya Diploma na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya kozi pamoja na ada zao kwa mwaka:

Kozi za Shahada ya Kwanza

Kozi Kampasi Muda (Miaka) Ada (Tsh)
Shahada ya Udaktari wa Tiba MBWENI 5 3,217,000
Shahada ya Sayansi na Elimu TUNGUU 3 1,817,000
Shahada ya Usimamizi wa Teknolojia ya Habari TUNGUU 3 1,817,000
Shahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira MBWENI 3 2,317,000

Kozi za Diploma

Kozi Kampasi Muda (Miaka) Ada (Tsh)
Diploma ya Ualimu wa Awali TUNGUU 2 1,067,000
Diploma ya Ustawi wa Jamii TUNGUU 2 1,067,000
Diploma ya Sayansi ya Kompyuta TUNGUU 2 1,067,000
Diploma ya Teknolojia ya Habari TUNGUU 2 1,217,000
Diploma ya Uhasibu CHWAKA 2 1,117,000
Diploma ya Teknolojia ya Habari na Uhasibu CHWAKA 2 1,217,000
Diploma ya Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi CHWAKA 2 1,117,000
Diploma ya Afya ya Mazingira MBWENI 3 1,417,000
Diploma ya Uuguzi na Ukunga MBWENI 3 1,417,000
Diploma ya Sayansi ya Maabara ya Tiba MBWENI 3 1,417,000

 

Categorized in: