Sifa za kujiunga na united African university of Tanzania (UAUT) 2025/2026
United African University of Tanzania (UAUT) ni chuo kikuu cha kibinafsi kilichopo Vijibweni, Kigamboni, Dar es Salaam. Kimeanzishwa na Korea Church Mission na kimejizatiti kutoa elimu bora kwa wanafunzi wa…