Kampala International University in Tanzania (KIUT) hutoa kozi mbalimbali katika ngazi za Cheti, Stashahada, Shahada ya Kwanza, na Shahada ya Umahiri kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026. Ada za masomo hutofautiana kulingana na programu na ngazi ya masomo.

Hapa chini ni muhtasari wa baadhi ya kozi zinazotolewa pamoja na ada zake kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026:

📚 Shahada ya Kwanza (Bachelor’s Degree Programmes)

Kozi Ada ya Mwaka (TZS) Muda wa Masomo
Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery 7,700,000 Miaka 5
Bachelor of Pharmacy 4,800,000 Miaka 4
Bachelor of Medical Laboratory Sciences 4,300,000 Miaka 4
Bachelor of Computer Science 2,450,000 Miaka 3
Bachelor of Information Technology 2,450,000 Miaka 3
Bachelor of Public Administration 1,900,000 Miaka 3
Bachelor of Social Work and Social Administration 1,900,000 Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Accounting) 1,980,000 Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Finance and Banking) 1,980,000 Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Human Resources Management) 1,980,000 Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Marketing Management) 1,980,000 Miaka 3
Bachelor of Business Administration (Supplies and Procurement Management) 1,980,000 Miaka 3
Bachelor of Laws 2,450,000 Miaka 3
Bachelor of Arts with Education (Kiswahili and English) 1,740,000 Miaka 3
Bachelor of Science with Education (Mathematics, Chemistry, Biology) 2,200,000 Miaka 3

Stashahada (Diploma Programmes)

Kozi Ada ya Mwaka (TZS) Muda wa Masomo
Ordinary Diploma in Clinical Medicine (NTA Level 6) 1,900,000 Miaka 3
Ordinary Diploma in Medical Laboratory Sciences (NTA Level 6) 1,900,000 Miaka 3
Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences (NTA Level 6) 1,900,000 Miaka 3
Ordinary Diploma in Environmental Health Sciences (NTA Level 6) 1,600,000 Miaka 3
Diploma in Business Administration 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Human Resources Management 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Marketing Management 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Supplies and Procurement Management 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Computer Science 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Public Administration 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Social Work and Social Administration 1,800,000 Miaka 2
Diploma in Law 1,800,000 Miaka 2

Cheti (Certificate Programmes)

Kozi Ada ya Mwaka (TZS) Muda wa Masomo
Certificate in Strategic Marketing Management 1,200,000 Mwaka 1
Certificate in Law 1,200,000 Mwaka 1
Certificate in Human Resource Management 1,200,000 Mwaka 1
Certificate in Information Technology 1,200,000 Mwaka 1
Certificate in Business Administration 1,200,000 Mwaka 1
Certificate in Public Administration 1,200,000 Mwaka 1

Shahada ya Umahiri (Masters Programmes)

Kozi Ada ya Jumla (TZS) Muda wa Masomo
Postgraduate Diploma in Education 1,540,000 Mwaka 1
Masters of Public Health 6,200,000 Mwaka 1
Master of Public Administration (MPA) 4,000,000 Miaka 2
Masters of Educational Management and Administration 4,000,000 Miaka 2

Ada Nyingine za Chuo

Kipengele Kiasi (TZS) Maelezo
Ada ya Usajili 20,000 Hulipwa mara moja
Kadi ya Utambulisho 10,000 Hulipwa mara moja
Prospectus na Mwongozo wa Mwanafunzi 10,000 Hulipwa mara moja
Dhamana (Caution Money) 10,000 Hulipwa mara moja
Ada ya Uanachama wa Maktaba 5,000 Kila mwaka
Ada ya Chama cha Wanafunzi (KIUTSO) 20,000 Kila mwaka
Huduma za Kompyuta 5,000 Kila mwaka
Ada ya Mahafali 15,000 Hulipwa mara moja
Ada ya Ubora (TCU/NACTE) 20,000 Kila mwaka
Ada ya NHIF 50,400 Kila mwaka

Kumbuka: Ada ya NHIF inalipwa moja kwa moja kwenye akaunti za NHIF kwa kutumia namba ya malipo (control number) itakayotolewa wakati wa usajili. Malipo haya hayafanywi kupitia akaunti za benki za chuo.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi na ada, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya KIUT: https://kiut.ac.tz au wasiliana na ofisi ya udahili kupitia barua pepe: info@kiut.ac.tz au simu: +255 716 153 399.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Categorized in: