Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinatoa kozi mbalimbali kwa ngazi ya Diploma na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya kozi pamoja na ada zao kwa mwaka:

Kozi za Shahada ya Kwanza

KoziKampasiMuda (Miaka)Ada (Tsh)
Shahada ya Udaktari wa TibaMBWENI53,217,000
Shahada ya Sayansi na ElimuTUNGUU31,817,000
Shahada ya Usimamizi wa Teknolojia ya HabariTUNGUU31,817,000
Shahada ya Sayansi ya Afya ya MazingiraMBWENI32,317,000

Kozi za Diploma

KoziKampasiMuda (Miaka)Ada (Tsh)
Diploma ya Ualimu wa AwaliTUNGUU21,067,000
Diploma ya Ustawi wa JamiiTUNGUU21,067,000
Diploma ya Sayansi ya KompyutaTUNGUU21,067,000
Diploma ya Teknolojia ya HabariTUNGUU21,217,000
Diploma ya UhasibuCHWAKA21,117,000
Diploma ya Teknolojia ya Habari na UhasibuCHWAKA21,217,000
Diploma ya Usimamizi wa Ununuzi na UgaviCHWAKA21,117,000
Diploma ya Afya ya MazingiraMBWENI31,417,000
Diploma ya Uuguzi na UkungaMBWENI31,417,000
Diploma ya Sayansi ya Maabara ya TibaMBWENI31,417,000

 

Categorized in: