Walioitwa kwenye Usaili – ARIMO, CBE, TLSB, TAFIRI, TVLA, NPS, IAE, MOI, HESLB, TMC, LITA, FETA, MSCL, Ofisi ya Waziri, MDAs & LGAs – Ajira Portal

Tangazo muhimu kwa waombaji wa kazi kupitia Ajira Portal! Majina ya walioitwa kwenye usaili kwa taasisi mbalimbali za serikali zikiwemo ARIMO, CBE, TLSB, TAFIRI, TVLA, NPS, IAE, MOI, HESLB, TMC, LITA, FETA, MSCL, Ofisi ya Waziri Mkuu, pamoja na Wizara na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) yametolewa rasmi.

Tafadhali tembelea portal.ajira.go.tz kwa orodha kamili ya majina, tarehe na mahali pa usaili.

Tazama hapa majina ya walioitwa kwenye usaili hapa chini

ORODHA YA MAJINA

Walioitwa kwenye Usaili – Bugando Medical Centre (BMC)

Tangazo kwa waombaji wa nafasi za ajira katika Bugando Medical Centre (BMC) – Orodha ya walioitwa kwenye usaili imetolewa rasmi.

Wote waliotuma maombi wanashauriwa kutembelea tovuti ya Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) au tovuti rasmi ya BMC ili kuangalia majina, tarehe, muda na sehemu ya kufanyia usaili.

✅ Tafadhali hakikisha unakuja na nyaraka zote muhimu kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo.

👉 Jiandae vyema na zingatia muda!

#BMC #Usaili2025 #Kaziserikalini #AjiraPorta
Tazama list ya walioitwa kwenye usaili hapa chini

ORODHA HII HAPA

Categorized in: